a pile of items sitting on top of a table

Zabibu Company

Kuza Biashara Yako

Digital marketing, design, content creation and more

HUDUMA BORA NA NAFUU

Tupo !

Kuwezesha safari yako ya kidijitali kwa kutumia suluhisho la uuzaji na usanifu kwa bei nafuu kwa mazingira rafiki ya Tanzania.

A vibrant workspace with a laptop displaying social media ads and colorful grape-themed design elements.
A vibrant workspace with a laptop displaying social media ads and colorful grape-themed design elements.
an aerial view of a city with tall buildings
an aerial view of a city with tall buildings

Huduma Zetu

Tunatoa huduma zifuatazo kwa ubora na ufanisi wa hali ya juu

Graphic Design

Huduma zenye mvuto na ubora wa kitaalamu kwa ajili ya kukuza chapa yako. Logo, posters, flyers, banners na michoro mbali mbali

Account Management

Huduma kamili za Usimamizi wa Akaunti za Facebook na Instagram kwa biashara ili kuhakikisha uwepo wako mtandaoni unafanya kazi kwa ufanisi.

Essential Working tools

Jipatie zana muhimu za kazi zilizolipiwa, kuweza kuwepesisha na kukuza ufanisi wa kazi yako

a person holding a book in their hand
a person holding a book in their hand
eBooks Services

Huduma ya kuandika, kuandaa na kubuni Vitabu vya kielectronic kwa ajili ya biashara, elimu na mauzo.

Mafunzo ya Graphic Design

Tunatoa kozi za Graphic Design kwa kutumia Canva zilizoandaliwa kwa mtindo rahisi na unaoeleweka, kuanzia kwa wanaoanza hadi waliopo kazini.

Digital Marketing

Huduma zinazolenga kuongeza mauzo, kufikia wateja sahihi na kukuza biashara yako kwa haraka.

Karibu tunakusikiliza

Wasilisha mahitaji ya ziada au maoni